RAISI JP MAGUFULI AMPONGEZA MH. KAGAME KWA USHINDI MKUBWA - DEEPEN TZ

DEEPEN TZ

Welcome to our blog. We give what is right for you

Tech News

test banner

Breaking

Home Top Ad

DEEPEN TZ

Post Top Ad

DEEPEN TZ

Sunday, August 6, 2017

RAISI JP MAGUFULI AMPONGEZA MH. KAGAME KWA USHINDI MKUBWA


Wawili hawa Mh. JPM na Mh. Kagame wanapongezana huku kila mmoja akimshukuru mwenzake na hizi hapa ndo chatting zao kwenye TWITER

Mh. JP Magufuli
                           "Nakupongeza Mh. Paul kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa rwanda kwa kipindi kingine. kwaniaba ya watanzania wote nakutakia mafanikio mema."

Mh. Paul Kagame
                               "Kwaniaba ya warwanda nakwaniaba yangu biafsi, nakushukuru sana Ndugu yangu Mheshimiwa."

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages