Rais JP Magufuli asema mda ukiisha anang'atuka - DEEPEN TZ

DEEPEN TZ

Welcome to our blog. We give what is right for you

Tech News

test banner

Breaking

Home Top Ad

DEEPEN TZ

Post Top Ad

DEEPEN TZ

Monday, August 7, 2017

Rais JP Magufuli asema mda ukiisha anang'atuka

RAIS JPM
Rais JP.Magufuli akaata kuongeza mda wa uongozi wake. wengi walikua na fununu kutoka kwa wanaompenda rais huyu pia kutoka katika vyama pinzani kua yawezeka rais huyu akajiongezea mda
wa uongozi wake.
Lakini wengi pia wameshangazwa na na kauri ya Mheshimiwa huyu amba kasema hazalani kua
hayuko tayali kuivunja katiba ya nchi yake Tanzania kwa kuongeza mda wa madara maana nikinyume na sheria ya katiba ya nchi iliyopo kwa sasa. Mda wake ukiisha anasema yuko tayali kuachia madaraka kwamwajibu wa katiba.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages