HUYU NDIYE ALPHONCE FELIX SIMBU MWANARIATHA TANZANIA ALIYEWALIZA WENGI - DEEPEN TZ

DEEPEN TZ

Welcome to our blog. We give what is right for you

Tech News

test banner

Breaking

Home Top Ad

DEEPEN TZ

Post Top Ad

DEEPEN TZ

Monday, August 7, 2017

HUYU NDIYE ALPHONCE FELIX SIMBU MWANARIATHA TANZANIA ALIYEWALIZA WENGI


Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha Mtanzania ambaye kwasasa dunia nzima inamuongelea yeye baa ya kuwa mshindi wa tatu katika mbio za marathon London. Nchini Tanzania amewania na kushinda tuzo nyingi na london amewahi kuwa mshindi wa tano.
 alizalia mwaka 1992 Februari tarehe 14 Tanzania. Ameweza kuiletea tanzania sifa nyingi duniani na kuifanya kazi hii ya kukimbiya iwe rasmi na kupendwa na wengi hasahasa vijana ambao bado ndo wanakua huku wakiwa na ndoto za kushinda marathon duniani.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages