Uchaguzi nchini Kenya ni leo hii ya tarehe 8/8/2017. ni uchaguzi wa raisi mwingine atakayeiongoza nchi hiyo katika kipindi kingine. kampeni za uchaguzi zilisitisha hapo juzi na leo kila mwananchi wa nchi hiyo mwenye vigezo vyote anmchagua anaemtaka awe raisi wake. Uhuru Kenyata na Laila Odinga ndio wagombeaji wakubwa nchini hapo na wao wakiwa mameweza kuonesha hali ya kilamwanachi kutokuwa na hofu yoyote maana wamewaahidi wakenya kuendelea na amani daada ya misukosuko ya kisiasa. Hili lilidhibitika pale waheshimiwa hawa walipokutana pamoja na kusalimiana kwa furaha
Post Top Ad
DEEPEN TZ
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
